Ole
Nangoro aruka kimanga kuhusika na mauaji kiteto adai yeye sio polisi
kwahiyo hayamhusu, kauli hii ameitoa katika akiwa kijiji cha Mbigili
wakati akimjibu MJUMBE wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Emmanuel Papiani
aliyedai kuwa ukimya wake unatias shaka ajitokeze hadharani kulaani
mauaji
Post a Comment Blogger Facebook
Post a Comment