- aslayisihakaAsante sana kwa Wote mliopoteza muda na Kuangalia video yangu mpya ya #Natamba | mpaka jana kufikia Trending na 2. Kwa uwezo wa mungu pamoja na nguvu ya nyinyi Mashabiki wangu mmewezesha hili. Mjini mambo ni mengi na kila mtu anatafuta kula. Lakini watu wasiopenda maendeleo ya wenzao wanafikia kupoteza muda na kurepory Video yangu ifutwe lakini bahati nzuri team yangu inajitaidi kufanya kila linalowezekana kuirudisha ikae sawa kwa sasa video imewekewa age restricted kuangalia lazima uwe na umri wa Miaka 18. #nguvuyaumma cc @chambusso@mxcarter
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Theme images by sebastian-julian. Powered by Blogger.
Post a Comment Blogger Facebook
Post a Comment