0


Iddi Mosi Julai 2016 #JamboSquad na #BoyKitilaNdani ya Ukumbi Mpyaaa Utaozinduliwa wa#WhatsupLodge.. Zamani kwa Mnyalu kukupa Show Kali #BurudaniJukwaani
Hapa @odiijambo Hapo @chaliijambo Pale @boykitilla 
MCHANA:
Disko toto Kwa Kiingilio cha sh 2'000/= Tu Mlangoni kuanzia saa sita Mchana kuendelea. Mtoto atakayependeza zaidi atapewa zawadi sambamba na kupiga Picha na @jambosquad 
USIKU:
Show ya WaKubwa kwa kiingilio cha sh 5000/= Tu Mlangoni na Disko toka kwa Deejays wakali. Dont Miss!!! IDDI MOSI ndani ya #WHATSUPLODGE

#InfoPoweredBy @vmgafrica @vipajivmgafrica @kwanzapromo #KwanzaPromo
@teamKaskazi
#TeamKaskazi

Post a Comment Blogger

Theme images by sebastian-julian. Powered by Blogger.
 
Top