YOUNG D AKIRI MABADILIKO PITIA HAPA KUSOMA 0 KISANAA 6/24/2016 A+ A- Print Email Napenda kumtambulisha rasmi kwenu @maximilianrioba ambaye sio tu CEO wa @mdb_records pia ni CEO wa @authentic_media Lakini zaidi ya yote namtambulisha kwenu huyu jamaa Kama kaka mkubwa aka baba mzazi, bosi wetu ambaye bila ubunifu wake tusingekuwa na Ngoma Kama vile TUNAPETA, DADA ANAOLEWA, BOMA LA UTETE na zingine kibao. Namshukuru sana Kwa Moyo wake wa pekee ambao kwa Kweli Hadi hivi Leo siwezi kumfananisha na producer au mmliliki yoyote mwingine wa recording company. Asante sana kaka Yangu Kwa kunisamehe na kunielewa, Asante sana Kwa kunipa nafasi nyingine tena. Mungu aniongoze kushikilia mabadiliko, na kukupa heshima kaka yangu. Sina cha kukupa zaidi ya kudhihirisha mabadiliko ya ndani ya Moyo wangu. Thank you big brother, thank you daddy, thank you mentor, thank you role model, thank you boss! πππππ @maximilianrioba @maximilianrioba @maximilianrioba A photo posted by PAKπRAPPER (@youngdaresalama) on Jun 24, 2016 at 12:23am PDT
Post a Comment Blogger Facebook
Post a Comment