0




NA
Bernad Daniel
Def Xtro au unaweza ukamuita DX ni C.E.O wa NOIZMEKAH napia ni Cordinator wa VMG AFRICA. makazi yake ni sakina Arusha Tanzania
LindegeBlog kupitia MOmagazine ilipata nafasi ya kumtembelea na kuzungumza nae machache juu ya harakati zake na mziki pia pamoja na hayo alieleza fursa aliyo itoa kwa wasanii wanaochipukia kwenye muziki waaina yoyote RNB.HIP HOP.REGAE.RAGA.DANCEHALL.nk
  Ifahamike kwamba DX nimmoja kati ya watu waliosaidia sana muziki wa Arusha kupiga hatua kubwa saa yakimauzo kwa mchango wake mkubwa katika sanaa ya muziki kwani wapo waliowahi kuchukua tuzokupitia yeye
    pia amekwisha fanya album pia single na wasanii wakubwa sana ndani na nnje ya tanzania
  FURSA:DX.ametoa punguzo kubwa sana la bei kwa kurecod NOIZMEKAH nahii inawalenga hasa wasanii ambao hajawahi kuwasikia au kufanyanaokazi ofahii ni kwa asilimia hamsini kwa chipukizi na asilinia arobaini kwa wakongwe ofa hii ita dumu kwa muda wa miezi mitatu hivyo amewataarifu mtuyeyote aneye jua anakipacji kuto izembea nafasi hii kwani lengo lake kuu ni kuinua vipaji vilivyo jificha ndani na nje ya arusha
    USHAWISHI: DX.amekua akiwashawishi na kuwatia moyo baadhi ya wasanii hata nawatu mbali mbali ambao si wasanii kwa wazonake analo litoa kilajuma lijulikanalo kama #ishiukweli ambapo wazohili linakua ni fupi ila likiwa limebeba mlolongo wa mawazo tujaribu kupitia baadhi ya mawazo ya DX.





  Nirahisi sana kumpata DX kama unataka kupata ofa hii au unahitaji maelezo zaidi Lindegeblog Kupitia MOmagazine tume furahishwa na ofa hii hivyo tumekuwekea mawasiliano yote ya DX hapa
   CONTACT:twitter @defxtro
                    :instagram @defxtro
                    :facebook Def Xtro
phon:0715240005
   
    Shukrani zetu lindegeblog kwa DX nawote walio changia MOmagazine kuanza rasmi naitakua ikitoka kila J PILI usikose kupitia mara kwa mara
                   MWISHO

Post a Comment Blogger

Theme images by sebastian-julian. Powered by Blogger.
 
Top