
Mwenyekiti
wa Tume ya Uchaguzi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano na
Viongozi wa vyama vya siasa ambapo alizungumzia zoezi la kugawa Majimbo
ya Uchaguzi.

Mkurugenzi
wa Uchaguzi Ndugu Julius Malaba akifafanua njia zitakazotumika katika
kugawa majimbo ya uchaguzi kwenye mkutano na viongozi wa vyama vya
siasa.


Profesa Ibrahimu Lipumba akichangia mada wakati wa mkutano wa Tume ya Uchaguzi na vyama vya siasa.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye

Viongozi wa Tume ya Uchaguzi wakichukua maoni ya wachangiaji hoja katika mkutano huo na viongozi wa vyama vya siasa.


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa mkutano wa Tume ya uchaguzi na vyama vya siasa

Mwenyekiti
wa chama cha NLD Dk. Emmanuel Makaidi akizungumza wakati wa mkutano huo
na kuitaka tume iache kufanya kazi wakati wa uchaguzi tu.
Post a Comment Blogger Facebook
Post a Comment