Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekagua baadhi ya maeneo
yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko jijini Dar es Salaam na kuwapa pole
wakazi wa maeneo hayo..Maeneo Aliyotembelea Rais leo ni Mbagala
Mwanamtitu na Daraja la Msimbazi ambapo amejionea uharibifu uliofanywa
na mvua zinazoendelea kunyesha.Pichani Rais Kikwete akiangalia Darala la
Mwanamtitu Mbagala lililosombwa na maji na daraja la muda la miti
lililojengwa na wakazi wa Eneo hilo na kisha kuwapa pole kwa adha
wanazozipata
Rais Dkt..Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Daraja la mto Msimbazi Eneo la Jangwani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo.
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa mhandisi wa
TANROADS kutoa uchafu ulijaa chini ya daraja la Msimbazi eneo la
Jangwani
Picha na Freddy Maro
Post a Comment Blogger Facebook
Post a Comment