| Jana
jioni mbunge wa Iringa mjini mh PETER MSIGWA na mwanamuziki ambaye
anawania ubunge jimbo la mikumi PROFESAJ jana walifanya mkutano wa
kisiasa katika jimbo hilo la mikumi na kuhudhuriwa na wanachama
mbalimbali wa chadema kwa ajili ya kuwasikiliza.hapa nimekuwekea baadhi
ya picha za mkutano huo |