0

Song: Chapaa
Title:   Chaba ft G Nako
Prod:  Daz Naledge
Studio:Watengwa&Dab Muziki

Chorus: (G Nako)
Mikono, clap clap, tunataka Chapaa, Hatuuzagi sura tunataka Chapaa,
Verse 1(Chaba)
Siuzi sura, Nauza mistari Chakula,
Migumu haina majanga ka viuno vya Snura,
Wanasema Ina madhara, Haifai biashara,
Labda Diamond aibembeleze iwe rap chotara,
Iwe misafi vilabu, umesema we Babuu,
Mitaa inasomeka kinyume kama kiarabu,
Ngoja nibunie, Unataka Riyama alie,
Kwenye video zangu kuwe na mama classic ka Batuli ndio mziangalie alafu ndio mnipatie, Dili la Chapaa, Sababu muziki umeng'aa, Kweeli ufeki umewajaa kuliko mapenzi ya gambe,
Haiitaji fine ass kama Aggy Masogange,
Kubanjukwa na rap ka hii lulu inayojiuza,
Embu Nipeni ni Chapaa sipo hapa sura kuuza,

Chorus:
Bridge: (Chaba& G Nako)
Sio zetu ku duggy duggy tunataka Chapaa,
Tunataka Chapaa tunataka Chapaa,
Sio zetu kuuza sura tunataka Chapaa,
Tunataka Chapaa tunataka Chapaa,

Verse 2 (Chaba)
Kichwa haijali, Ntasababisha ajali,
Marapa wanavuka barabara na nipo rali,
Nawagongelea mbali, Gari langu la mistari,
Limevurugwa spidi haliwazi maisha ya zari,
Kuna bili, Za kulipwa malengo Mia mbili,
Alafu Unataka niuze sura mjini bila papili,
Laza Chapaa hatujaja ku shake,
Narapu mpaka inatokea tabasam juu ya cheque,
Kilimo kwanza panda mistari uvune Chapaa,
Wanasema bila Rachel haitakuwa kifaa,
Wacheki blah blah, Biashara za kiboya,
Silegezi suruali kama macho ya Uwoya,
Siigizi show kama ndani ya viatu vya wema ili rap zikatema ile wakashindwa kuhema,
Hii sio siri iliyo wazi ndani ya mtungi,
Nafanya biashara ya mistari na huwaga sipunji,

Chorus
Bridge
Outro

Post a Comment Blogger

Theme images by sebastian-julian. Powered by Blogger.
 
Top