Pata ngoma mpya toka kwa @jacksongozzo aka "Shillingi", Rap Mc toka Kundi la "Underground Flani" na mwenye ukaribu na Broken Bones Family, Gozzo anafungua mwaka 2015 kwa kudrop "TATU SAFI" ambayo ni ngoma 3 "Sababisha ft Sight More", "Press Play", pamoja na "Hisia ft Broken Bones" kuzipakua bofya HAPAhttps://mkito.com/song/sababisha-ft-sight-more/10212   https://mkito.com/song/press-play/10232   https://mkito.com/song/hisia-ft-broken-bones/10222  Powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com
https://mkito.com/artist-profile/gozzo/333

Theme images by sebastian-julian. Powered by Blogger.
 
Top