Na Mohamed Hamad
CHOPA ya polisi iliyokuwa imekuja kiteto kwaajili ya kushuhulikia mauaji imeodoka baada ya kupata taarifa kamili ya mauaji toka mapema mwaka huu
kwa kwa mujibu wa taarifa hizo zaidi ya watu 30 wameuawa huku 74 wakijeruhuhiwa kutokana na mauaji hayo
maafisaa hao wa polisi wameondoka kwenda makao makuu ya nchi dodoma kuwasilisha taarifa hizo
Theme images by sebastian-julian. Powered by Blogger.
 
Top