MAUAJI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KITETO YAONGEZEKA habari 11/18/2014 A+ A- Print Email na mohamed hamad kiteto IDADI ya watu waliokufa kiteto imeongezeka na kufikia saba baada ya wakulima wawili kuuawa kijiji cha chekanao awali watu watano wa kijiji cha matui waliuawa nov 12 kijiji cha matui 2014 wakilipizana visasi Tuma Hii kwa Barua pepe