MAJANGA TENA ARUSHA SOKO MAARUFU LA VINYAGO LAUNGUA MOTO habari 11/18/2014 A+ A- Print Email Mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo akitazama soko la Meru Curio Craft maarufu kama masai market lilivyoteketea kwa moto ulianza majira ya jana jioni ,kushoto ni Kamanda wa Jeshi la polisi Liberatus Sabas.Picha na Ferdinand Shayo