0

Na Bernad Daniel
Hivi karibuni kumekua na uchu wa wasanii hali iliyo pelekea CHINDO MAN kua katika wakati mgumu hili limethibitika baada ya www.lindegeimfor.blogspot.com kufanya mahojiano na baadhi ya mashabiki nguli wa muziki wetu wa Tanzania hasa HIP HOP kwa upande wa Arusha mashabiki hao walisema mengi kuhusu muziki wa HIP HOP pamoja na mambo yanayo changia kurudisha Muziki wa HIP HOP Nyuma ambapo lisema kwamba sababu kubwa ni  ushirikiano mdogo kutoka kwenye Radio Na vyombo vingine vya habari sababu nyingine ni
2 ugomvi usio na maana
3 madawa ya kulevya
4 wivu
Mashabiki hao pamoja na hayo waliongea kwa mifano halisi wakisema madawa ya kulevya yanawarudisha sana wasanii nyuma Mfano .......jina tunalihifadhi ni mmoja kati ya wasanii wazuri sana hapa Tanzania lakini madawa ya kulevya yamempelekea kuwa mwizi mdokozi namaneno mengine makali mno ndipo nikajua mashabiki huwa wanahasira haswa  hivyo usishangae watu kutupiwa makopo ya maji na chupa jukwaani
Lengo kuu la mahojiano haya www.lindegeimfor.blogspot.com  tuliyo yafanya nikutaka kujua msimamo na mstakabali wa mashabiki wa muziki wa Hapa Arusha Na Tanzania kwa ujumla na katika mahojiano hayo viliibuka vitu vingi sana tofauti na mada husika kubwa lililo shika hatamu ni
TUNAMTAFUTA CHINDO MAN mashabiki hao waliyasema hayo wakimaanisha wanamtafuta chindo na kumwambia kwamba wana hamu sana ya show yake yeye binafi kwani huwa show anayo andaa CHINDO MAN huwa wasanii wadogo wengi huwa wanapewa nafasi ya kuonyesha vipaji vyao na pia hana tabia ya kuwabania wasanii wadogo na kikubwa zaidi ni msanii anae fanya vizuri katika huu muziki wa HIP HOP napia wanahamu ya kumsikia Rap nyimbo zilizoko kwenye album yake mpya inayokwenda kwa jina la (LOMAYANI)kwani ni album nzuri yakusiliza nakufanyia kazi
Mmoja wa mashabiki hao alisema kwamba sio kwamba tunawaambia wengine wasiaandae matamasha ila CHINDO MAN kwa mda huu nimuhimu sana kwetu shabiki huyo alisema kuna makundi mengi sana arusha nayana fanya vizuri sana katika muziki huu wa HIP HOP ikiwemo
1 WEUSI
2 WATENGWA
3 KID CAN KIL
4 VATOLOKO
Na wengine wengimashabiki hao wali maliza kwa kuhamasisha  UPENDO AMANI USHIRIKIANO baina ya wasani kwa wasani na wasanii na vyombo vya habari ili kufikisha muziki wa HIP HOP mahali husika nasi kuone kana kama HIP HOP ni uhuni tuu
Kwakuona umuhimu juu ya suala hili www.lindegeimfor.blogspot.com TUNAMTAFUTA CHINDO MAN ili atufafanulie baadhi ya mambo haya na tuna wa ahidi TUNAMTAFUTA naatakacho kijibu utakipata hapa hapa

www.lindegeimfor.blogspot.com
©Lindege

Post a Comment Blogger

Theme images by sebastian-julian. Powered by Blogger.
 
Top