LIKE facebook Page YETU HAPA ILI KUTUTIA MOYO KWANI YOTE TUNATOA BILA MALIPO
Kutoka www.Manutd.com: Manchester United wamethibitisha kumsajili Daley Blind kwa pauni milioni 14. Amesaini mkataba wa miaka minne,na kuwa na uwezekano wa kuongeza mkataba huo zaidi.