BofyaHAPAkuwapata Wa2livu Unit waliokuwa wakijulikana zaidi kama Wazawa Unit, sasa baada ya kubadili jina wanawahakikishia Fans wote kuwa Muziki ndio Fani yao naHAPAwanakuja na ngoma "Tumechoka" wakiwa wamemshirikisha mwanadada DipperVato katika Kiitikio na Pia kwenye Verse, ngoma ni Dancehall Category toka Noizmekah Production Studios Arusha chini ya Mtayarishaji Defxtro, kwa mahojiano maelezo zaidi check na Wa2livu Unit kwa nambari+255 752 300 776na+255 759 636 693