LIKE facebook Page YETU HAPA ILI KUTUTIA MOYO KWANI YOTE TUNATOA BILA MALIPO
KandaMseto ya Cypher instrumentals kwa jina "Kiki Na Bezi Vol 1" yenye beats kumi na inakujia BURE kabisa kupitia www.mkito.com kwa Hisani yaNoizmekah Production Studios, Lengo kuu ni kuimarisha umoja na ujuzi wa wasanii kughani ujumbe, kukuza utamaduni wa Vilinge na Mitindo Huru kwa misamiati adimu yenye elimu. Midundo hii ruksa kutumika popote Tanzania na msanii yeyote studio na pia jukwaani, BOFYA HAPA http://goo.gl/93Yq0LPakua kisha tembea Juu ya KIKI na BEZI powered by www.vmgafrica.com
Theme images by sebastian-julian. Powered by Blogger.


