http://old.hulkshare.com/yo4z6e07ct8g
Baada ya kuwakilisha vyema katika Tamasha la OKOA MTAA Festival, Rapper Head Fire akiwakilisha vyema Arusha amejipatia nafasi ya kurekodi na kutoa ngoma kwa jina " Inatokana na Nini" ikiwa ni HipHop category iliopikwa Noizmekah studios Arusha, Click HAPA kusikiliza/Kudownload na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na Head Fire kwa Nambari +255 713 000 643powered
Theme images by sebastian-julian. Powered by Blogger.
 
Top