Askari wa Jeshi la Polisi Kituo Kikubwa Tabora mjini wakiwa wamebeba
mwili wa mtu mmoja aliyeuawa kwa kupigwa na wananchi kwa tuhuma za wizi
huku mwenzake akiponea chupuchupu Maiti
ya mtu mmoja aliyeuawa akitambulika kwa jina la LUNJA ambapo wananchi
walimshambulia akiwa na mwenzake majira ya saa nne asubuhi Emmanuel
Samwel baada ya kusamilika kifo kufuatia wananchi wenye hasira
kuwavamia na kuanza kuwapiga wakiwatuhumu kwa ni majambazi katika eneo
la Kata ya Malolo manispaa ya Tabora