Katika maisha wote tuna siri zilizotuzunguka na mambo mbalimbali ya
kifamilia pengine yanayotia kinyaa ambayo huwa tunatamani yasijulikane
kwa wengine au labda yafutike kabisa. Lakini inategemea unayachukuliaje
mambo hayo au yanaathiri vipi mitazamo yako kuhusu wewe. Ukweli ni
kwamba hatuwezi kuyabadili labda tunachoweza kufanya ni kubadili mitazamo ya wengine kuhusu yale yaliyotuzunguka… ,,,,,,,,,,,,SOMA KWA UNDANI HAPA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,